Breaking News
recent

Picha: Instagram wameipa Tiki ya bluu Akaunti ya Diamond Platnumz (Verify)

Diamond ameungana na mastaa wengine wachache wa Afrika ambao wamekua verified kwenye mtandao wa Instagram.
Diamond ambaye anafollowers zaidi ya Million 1 kwenye Instagram kwasasa amekua verified kwenye account zake zote za mitandao ya kijamii, ikiwa na maana ya kuwa anatambulika kimataifa.
Diamond ni staa wa pili Tanzania kuwa Verified Instagram, wa kwanza ni Flaviana Matata.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.