Breaking News
recent

Chris Brown na Baby mama wake waweka tofauti zao pembeni kumlea pamoja binti yao.

Staa wa R&B, Chris brown na mzazi mwenzie Nia Guzman wameweka tofauti zao pembeni ili kumlea mtoto wao Royality.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, wawili wameamua kumlea mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja kama familia moja ikiwa ni pamoja na kumpeleka shule, kwenye michezo, kuogelea na mambo mbali mbali.
Miezi michache iliyopita wawili hao walifikishana mahakamani kuhusiana na masuala ya malezi ya mtoto wao.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.