Breaking News
recent

Jokate asema kinachowaponza wasanii wengi ni kuvimba kichwa wanapopata umaarufu.

Mwanamitindo na muimbaji, Jokate mwengeleo aka Kidoti ametaka wasanii kutotumia vibaya umaarufu  wao ili wapate ushirikiano katika kazi zao.
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Jokate amesema kinachowaponza wasanii wengi ni umaarufu
“Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi kuvimba kichwa ukajiona wewe ndio wewe, unasahau kabla ya wewe kulikuwa kuna watu ambao walihit vilevile. Hii ni cycle kwamba leo umehit, yule kesho,” alisema Jokate
“Wanatakiwa kujua sio kwamba wao watakaa juu milele, hiyo haipo. Kwahiyo hivyo vitu visikuingie kichwani, cha muhimu ni kufanya kazi kwa heshima hasa hasa kwa wale watu ambao wapo kwenye industry,” alisisitiza Jokate.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.