Breaking News
recent

Wimbo wa Alikiba Cheketua na Game ya Navy Kenzo zajumuishwa kwenye Mix ya ‘Africa in your Earbud’ ya Jidenna aliyeimba Classic Man.

Muimbaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria, Jidenna na DJ wake Nana Kwabena ambaye pia producer wake, wametoa mix yao iitwayo ya ‘Africa In Your Earbuds’ ya Jidenna & Nana Kwabena 67’ ambamo wamemix ngoma za Afrika zinazofanya vizuri.
Miongoni mwa nyimbo zilizomo kwenye mix hiyo ni wimbo wa Navy Kenzo, Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee na Chekecha Cheketua ya Alikiba.

Hii ndio orodha kamili ya nyimbo zilizopo kwenye Mixtape hiyo
01. Fela Kuti – Roforofo Fight [Nigeria]
02. R2Bees – Lobi [Ghana]
03. Rihanna – BBHMM Mavin Remix feat. Tiwa Savage & Reekado Banks [Nigeria]
04. Mafikizolo – Khona ft Uhuru [South Africa]
05. WizKid – In My Bed [Nigeria]
06. Mafikizolo – Happiness [South Africa]
07. Drake – Know Yourself (Fasta & Kid Kayne Afro Bootleg) [Netherlands]
08. Buraka Som Sistema – Komba feat. Kaysha [Portugal]
09. Janelle Monaé – Tightrope (Salah Ananse Remix) [United States]
10. Fela Kuti – Eko Ile [Nigeria]
11. Oscar Sulley – Bukom [Ghana]
12. Seun Kuti – Mosquito Song [Nigeria]
13. Fela Kuti – Colonial Mentality [Nigeria]
14. Fela Kuti – Ariya [Nigeria]
15. Femi Kuti – Look Around [Nigeria]
16. The Lijadu Sisters – Not Any Longer [Nigeria]

17. Sarkodie – Dumsor [Ghana]
18. Jidenna – Classic Man ft. Kendrick Lamar (OxV Official Remix) [United States]
19. WizKid – Ojuelegba Remix ft. Drake & Skepta [Nigeria]
20. Stonebwoy – Baafira ft. Sarkodie [Ghana]
21. Navy Kenzo – Game ft. Vanessa Mdee [Tanzania]
22. E.L – Shelele [Ghana]
23. Iyanya – Applaudise [Nigeria]
24. Patoranking – My Woman, My Everything ft. Wande Coal [Nigeria]
25. Burna Boy – Follow Me [Nigeria]
26. Stromae – Ave Cesaria [Belgium]
27. Four Tet – TTIBPTPKAAATJUIHRAMADPOBR [England]
28. Sauti Sol, General Pype & Sasha P – Mara Hio Hio (Instrumental) [Kenya/Nigeria]
29. Kiss Daniel – Laye [Nigeria]
30. Various Artists – Racines [Cameroon]
31. Timaya – Some More [Nigeria]
32. Criss Waddle – Pepeepe ft Mugeez [Ghana]
33. Alikiba – Chekecha Cheketua [Tanzania
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.