Breaking News
recent

Mahujaji wa TZ waliofariki wafikia 22....

Idadi ya raia wa Tanzania waliofariki katika mkanyagano wakiwa katika ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwezi uliopita imeongezeka na kufikia 22,kulingana na waziri wa maswala ya kigeni.
Mwandishi wa BBC Leonard Mubali anasema kuwa mahujaji wengine 38 kutoka Tanzania hawajulikani waliko.
Serikali ya Saudia imesema kuwa takriban watu 769 walifariki katika mkanyagano ,ijapokuwa maafisa kutoka mataifa wanayotoka mahujaji waliofariki wanasema kuwa idadi hiyo ni watu 1,480.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.