Breaking News
recent
0

Barnaba aachia kionjo cha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ unatoka Alhamisi ijayo.

Barnaba ameachia Kionjo cha wimbo mpya aliomshirikisha mkongwe wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone, wimbo huo uliopewa jina la ‘Naku...
Read More
0

Ne-yo atua tena Afrika Mashariki kwa ajili ya Tamasha la ‘PopNJam’ litakalofanyika Uganda.

Staa wa R&B wa Marekani, Ne-yo ametua uwanja wa ndege wa Uganda, Entebbe airport usiku wa jana kwa ajili ya Tamasha la ‘PopNJam’ lit...
Read More
0

Common kuigiza kwenye filamu mpya ‘John wick 2′

Rapper kutoka Chicago, Common ataigiza kwenye filamu mpya ya John Wick 2 pamoja na staring wa filamu hiyo Keanu Reeves. Director wa Filam...
Read More
0

kuna kampuni kubwa inataka kusimamia usambazi wa Album yangu ndio maana nimesogeza tarehe mbele – Davido

Davido ameeleza sababu za kusogeza mbele tarehe ya kuachia Album yake mpya ‘Baddest’, Davido amedai sababu kubwa ni kampuni kubwa inayota...
Read More
0

Khole Kardashian akanusha kurudiana na Lamar Odom.

Mbali ya kufuta kesi ya kuomba talaka yake kwa Lamar Odom, Khole Kardashian ameibuka na kusema kuwa yeye na Lamar hawajarudiana. Akiong...
Read More
0

Orodha ya kwanza ya washindi wa Tuzo za MOBO yatangazwa.

Preshow kabla ya sherehe zenyewe za utoaji wa Tuzo za MOBO ‘Music of Black Origin’ imefanyika usiku wa jana huko London ambapo washindi ...
Read More
0

Justin Bieber aachia orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye Album yake mpya ‘Purpose’

Justin Bieber ameachia orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Album yake mpya ‘Purpose’ inayotoka mwezi ujao [Nov. 13] Kwenye Album hiy...
Read More
0

Wimbo wa Sauti soul na Alikiba unakaribia kutoa, utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’

Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa kwe...
Read More
0

Future amuumbua Blac chyna, akanusha kuwa na uhusiano nae.

Rappper wa Marekani, Future ameibuka na kukanusha tetesi zinazoenea kuwa ana uhusiano na Mama mtoto wa Tyga, Blac chyna. Tetesi za wawil...
Read More
0

New Music: Mavins (Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D’Prince, Reekado Banks, Korede Bello and Di’Ja) – “Jantamanta”

3 months ago, Don Jazzy shared a snippet from “ Jantamanta ” on Instagram and Snapchat. Today, we get to enjoy the entire song! The Su...
Read More
0

Prof. Jay ashinda ubunge jimbo la Mikumi.

Mwanahiphop nguli, Joseph Leonard haule aka Prof. Jay ameshinda ubunge jimbo la Mikumi, Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. JIMBO LA MIKUM...
Read More
0

Wewe ni mtumiaji wa vilevi? haya ni mambo ya muhimu unayopaswa kufahamu kuhusiana na Vilevi.

“Haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18, kunywa kistaarabu” ujumbe huu unapatikana katika matangazo yote ya vilevi, na nadhani hilo li...
Read More
0

Blac Chyna achora tatoo ya jina la Future Je, wana uhusiano?

 Mama wa mtoto na Ex wa rapper Tyga, Blac Chyna amechora tatoo ya jina la Future ambaye pia ni Baba wa mtoto wa Ciara japo walishaachana....
Read More
0

Davido aahirisha tena kuachia album mpaka mwakani (2016)

Boss wa HKN, Davido amehairisha kuachia album yake mpya ‘Baddest’ mara nyingi zaidi ya tunavyoweza kumbuka, na sasa Album hiyo haitatoka ...
Read More
0

Wimbo wa Alikiba Cheketua na Game ya Navy Kenzo zajumuishwa kwenye Mix ya ‘Africa in your Earbud’ ya Jidenna aliyeimba Classic Man.

Muimbaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria, Jidenna na DJ wake Nana Kwabena ambaye pia producer wake, wametoa mix yao iitwayo ya ‘Afric...
Read More
0

Swizz Beatz na Ne-yo wampongeza Diamond kwa ushindi wa Tuzo ya MTV EMA, Soma Pongezi za mastaa wengine hapa.

Producer Mkongwe wa Marekani, Swizz Beatz na Msanii wa R&B, Neyo ambaye pia ameshirikishwa na Diamond kwenye wimbo wake mpya, wamemp...
Read More
0

Nick Cannon asema Chris Brown ni sawa na kujumlisha Michael Jackson na 2pac kwa pamoja.

Chris Brown ni moja ya wasanii wenye mafanikio zaidi kwa miaka hii ya Karne ya 21, Mtangazaji wa kipindi cha ‘American’s Got Talent, Nick...
Read More
0

Kumsaidia Msanii chipukizi sio kumpeleka studio tu kama wengi wanavyofikiri – Izzo Bizness.

 Izzo Business ameweka wazi kuwa kwa nafasi yake, anasaidia kunyanyua vipaji vya wasanii wanaochipukia kwa kutenga muda wake kutoa ushau...
Read More
0

MeekMill aipondea video ya Hotline bling, Ajibu mistari ya ‘Back to back’ ya Drake.

Beef la MeekMill na Drake bado halijaisha, MeekMill ameibuka na kuipondea video ya Drake ‘Hotline Bling’ pia amejibu baadhi ya mistari i...
Read More
0

Diamond ashinda Tuzo ya MTV EMA ‘Worldwide Act Africa/ India’

Nassib Abdul Juma aka Diamond Platnumz ametamba kifua mbele kwenye Tuzo ya MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa usiku wa jana hu...
Read More
Powered by Blogger.