Breaking News
recent

50 cent afurahia jinsi idadi ya watamazaji wa thamthilia ya empire inavyopungua.

Rapper 50 cent ambaye anaigiza kwenye tamthilia ya ‘Power’ siku zote huwa hakosi cha kuwapondea wapinzani wake wakubwa "Empire", Sasa hivi ana kila sababu ya kufurahi baada ya tamthilia hiyo kupoteza idadi kubwa ya watazamaji.
Kupitia Instagram 50 cent ameweka picha inayoonesha kupungua kwa idadi kubwa ya watazamaji wa tamthilia ya Empire na kuandika  “Don’t worry, Power Season 3 is going to blow you away. Now, they know not to mess with me”

Japo Empire ilianza kwa kishindo msimu wa pili kwa kupata zaidi ya watazamaji Million 16, idadi imekua ikipungua kila baada ya episode huku sababu kubwa ikidaiwa ni kutokana na kupromote mapenzi ya jinsia moja na kuonesha watu maarufu wengi.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.