Breaking News
recent

kuna kampuni kubwa inataka kusimamia usambazi wa Album yangu ndio maana nimesogeza tarehe mbele – Davido

Davido ameeleza sababu za kusogeza mbele tarehe ya kuachia Album yake mpya ‘Baddest’, Davido amedai sababu kubwa ni kampuni kubwa inayotaka kuisambaza album hiyo.
Davido ambaye amehairisha kutoa Album hiyo zaidi ya mara nne, amesema Album imeshakamilika lakini kuna kampuni kubwa ilimpigia simu siku mbili kabla hajaiachia wakitaka kusimamia usambazaji wa album hiyo
“The album is done, everything, but funny enough, two days before we were about to drop the album, we got a call from a very big corporation that wants to be involved in the album distribution, that’s why we pulled back.” Amesema Davido
“There’s no point doing things the same. If you are going to do it big, there’s no point doing it at all. That’s why I chilled back, and I want to let the big corporations do their work. But the album is coming.” Aliongeza bila ya kusema ni kampuni gani zaidi ya kuiita ‘Big corparation’
Davido amewashirikisha mastaa wakubwa kwenye album hiyo ikiwemo Meekmill, Trey songz na Future.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.