Breaking News
recent

Prof. Jay ashinda ubunge jimbo la Mikumi.

Mwanahiphop nguli, Joseph Leonard haule aka Prof. Jay ameshinda ubunge jimbo la Mikumi, Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Mheshima Joseph Haule ameshinda kwa kura 32259 akiwa amemshinda mpinzani wake, Jonas Nkya wa CCM  kwa kura 1834, Jonas amepata kura 30425.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.