Breaking News
recent

Justin Beiber atangaza ujio na jina la Album yake mpya…



Zimepita wiki chache toka Justin Bieber aachie ngoma yake mpya ‘What Do You Mean’ wimbo ambao kwa wiki chache tu umeweza kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard Hot 100.
Kama wewe ni shabiki wa Justin Beiber basi hii good news ikufikie popote pale ulipo, Justin Beiber ametangaza kupitia page yake ya Twitter ujio wa album yake mpya iliyopewa jina la ‘Purpose’ itakayokuwa sokoni tarehe 16 November, wiki sita kwanzia sasa.
BIBA

Mashabiki nao hawakuwa nyuma sana, baadhi yako walichukua time na kuonyesha furaha yao kupita pages zao za Twitter pia..
BIBA2

BIBA3

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.