Breaking News
recent

Future amuumbua Blac chyna, akanusha kuwa na uhusiano nae.

Rappper wa Marekani, Future ameibuka na kukanusha tetesi zinazoenea kuwa ana uhusiano na Mama mtoto wa Tyga, Blac chyna.
Tetesi za wawili hao kuwa na mahusiano ya kimapenzi zilichochewa na Blac chyna baada ya kuchora tatoo ya jina la Future mkononi na kuiweka Instagram huku akiipa caption ya ‘Thought it was a drought’ ambayo ni jina la wimbo wa Future.
Future ambaye alikua mchumba wa zamani wa Ciara amekanusha uvumi huo na kusema kuwa kwasasa hayupo kwenye mahusiano, na amefocus kwenye vitu vinavyompa furaha, Ametweet
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.