Breaking News
recent

Diamond Platnumz, Vee Money, Ommy Dimpoz they make it on AFRIMMA Awards 2015

Good news kwa Tanzania…Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka nguvu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika Kimataifa.
Tuzo hizo za AFRIMMA 2015 zimefanyika ndani ya Dallas, Texas Marekani… Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, yuko Ommy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumz na Tuzo tatu.
List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda  AFRIMMA 2015.

Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’ -  Bracket Feat. Tiwa SavageDiamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’ -  Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)
Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama
Best Video Director- Godfather (South Africa)


ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.