Breaking News
recent

Kiwanda cha Cement cha Tajiri Aliko Dangote ujenzi umefikia hapa.....

Kwenye list ya Matajiri wakubwa wanaotambulika Duniani kwa sasa yuko pia mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye ni Raia wa Nigeria, Afrika anatajwa kuwa tajiri wa kwanza kabisa.
Utajiri wake unatokana na nguvu kubwa ambayo amewekeza kwenye Biashara na Miradi mbalimbali ikiwemo Miradi ya Sukari, Cement, Mafuta na Biashara nyingine kubwakubwa.
Alikuja Tanzania pia akahitaji kuwekeza moja ya Miradi yake mikubwa, akapata ruhusa ya kufanya ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mtwara… ujenzi umefikia pazuri na Rais Kikwete alifika pia kwa ajili ya Sherehe za uzinduzi wa Kiwanda hicho.

 Rais JK akitambulishwa kwa Wageni wengine toka Nigeria waliohudhuria Uzinduzi huo October 10 2015 Mtwara.
 Alhaji Aliko Dangote kwenye Hotuba.


 Rais Kikwete kwenye Hotuba pia ya Uzinduzi.

 Wakati wa Picha ya pamoja, Rais JK, Mama Salma Kikwete, Aliko Dangote pamoja na Wageni wengine.

 Baadhi ya Wafanyakazi toka China na India waliohusika na Ujenzi wa Kiwanda hicho.


 Muonekano wa moja ya sehemu za ndani ya Kiwanda.


 Muonekano wa moja ya Majengo ya Kiwanda.
Upande mwingine wa Kiwanda.
 

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.