Breaking News
recent

Diamond ashinda ‘Best African Act’ ya tuzo za MTV EMA sasa kushindana na mshindi "Priyanka Chopra" wa India kuwania tuzo ya ‘Best worldwide Act’

Diamond Platnumz ndio mshindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ cha Tuzo za MTV Europe kilichokuwa kinashindaniwa na mastaa wengine wa Afrika ikiwemo  AKA (South Africa), Yemi Alade (Nigeria), Davido (Nigeria) na DJ Arafat
Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya ‘Best Worldwide Act: Africa/India’
Mwaka jana Sauti soul waliibuka washindi wa kipengele cha African Act japo hawakufanikiwa kushinda Tuzo ya ‘World wide’
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.