Breaking News
recent

Davido akutana na shabiki aliyejichora tatoo ya sura yake kifuani.

Staa wa Nigeria, Davido hatimaye amekutana na shabiki yake aliyejichora tatoo ya sura ya davido kifuani kwake.
Muimbaji wa ‘Fans Mi’ alipost picha ya huyo jamaa akiiomba wamtafutie ili aweze kukutana naye, Hatimaye amekutana nae, Davido amesema ni mwanafamilia sasa huku akiwa ametupia cheni ya dhahabu ya HKN
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.