Kufuatia Mahojiano aliyofanya na kipindi cha Breakfast Club, Wale alisema kuwa Meekmill hakujipanga vilivuokushindana na Drake, aliongeza kuwa Meekmill alienda na penseli kwenye pambano la bunduki.
“Nadhani Meek alikuja na penseli kwenye pambano la bunduki, hata hajaja na kisu, kaja na penseli na karatasi kabisa, akajaribu kumkata na karatasi, huwezi kushindana na mtu kama Drake” Alisisitiza Wale
Wale alimsifia Drake kuwa mbali ya kuwa aliachia Disstrack mbili mfululizo aliziachia kwa njia yenye manufaa zaidi kwa kupitia Apple music kuliko Meekmill ambaye aliachia kupitia kwenye kipindi tu cha redio.
MeekMill hakupenda maneno hayo, na alichukua Time kuandika ujumbe mrefu kwenye Instagram kumjibu Wale, Meek amedai wale amemuongelea ili apate kick ya wimbo wake anaotaka kuachia
“Niggas b doing all this to drop a new record gossiping about they hoe ass feelings and they personal life because they miserable and nobody don’t rock wit them! Really stay away from me Fam! U not MMG NOMORE! This why u can’t get my number you a hoe!




Muda mfupi baada ya MeekMill kuandika hiyo, Wale alitumia Twitter kumjibu
Currently Lookin for a roof— Young Olu the Genius (@Wale) October 21, 2015
— Young Olu the Genius (@Wale) October 21, 2015
I talked about Adrian marcel and Elijah Blake on breakfast club too . And tyrese and tank on my intvw— Young Olu the Genius (@Wale) October 21, 2015
And Rae sremmurd I spoke on to— Young Olu the Genius (@Wale) October 21, 2015
No comments:
Post a Comment