Kupitia Mtandao wa Instagram, mwanamitindo huyo ametangaza kuwa atahost Pool Party itakayofanyika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
“Abuja, Nigeria! I’ll be seeing you soon

Karrueche alipata umaarufu mkubwa baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Staa wa muziki wa Marekani, Chris Brown baada ya kuachana na Rihanna, hata hivyo wameachana baada ya taarifa kupata mtoto wa kike na mwanamke mwingine
No comments:
Post a Comment