Breaking News
recent
0

Beyonce avaa nguo iliyotengenezwa kwa kanga yenye maandishi ya Kiswahili toka kwa designer wa Tanzania.

Utajiskiaje kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekan...
Read More
1

"SERENGETI BOYZ WANATOA PENZI ZITO"- JACKLINE WOLPER

Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za ...
Read More
0

Marekani yatoa onyo kwa raia wake Misri

Serikali ya Marekani imetoa tahadhari kwa raia wake kutosafiri nchini Misri huku ikiwataka maafisa ambao hawajaajiriwa katika ubalozi wa...
Read More
0

Kiongozi mkuu wa Al Shabaab ajisalimisha.

Umoja wa mataifa unasema kuwa kiongozi mmoja mkuu wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Somalia, al-Shabab, Hassan Dahir Aweyes, am...
Read More
0

Familia ya Mandela yakosoa wanahabari

Taarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa...
Read More
0

Mume na mke watoana jasho mahakamani

Mahakama ya rufaa nchini Uingereza imebatilisha uamuzi uliotolewa na mahakama kuu mjini London, uamuzi ambao huenda ukawa na athari kubw...
Read More
0

Muigizaji wa Bongo Movie Jaji Khamis aka Kashi afariki dunia

Muigizaji wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. ...
Read More
0

Jarida la wanaume ‘Play boy’ linatamani kupata picha mpya za utupu za Kim Kardashian za baada ya kujifungua

Wakati vyombo vingine vya habari vikiwa vinasubiri kwa hamu kupata picha za mtoto wa Kim Kardashian na Kanye anayetarajiwa kuzaliwa siku...
Read More
0

Marekani inadaiwa kufanya udukuzi duniani

Wizara ya sheria nchini Marekani imeanzisha uchunguzi kwa kile inachosema ni ufichuzi wa taarifa za siri uliofanywa na mtaalamu wa zaman...
Read More
1

JE BIG BROTHER NI SHINDANO LA FREEMASON.....?

WATU WANASEMA MANENO UUMBA, INAWEZA KUA KWELI AU SI KWELI. PICHA HAPO JUU INAICHAMBUA LOGO MPYA YA BIG BROTHER. KAMA UNAVYOONA HAPA CHI...
Read More
0

Hii Ndo List Kamili Ya Waliopata Tuzo Za KTMA 2013

Wimbo bora wa mwaka Dear God – Kala Jeremiah Msanii bora wa Kiume Diamond Msanii bora wa kike Lady Jaydee Msanii bora wa kike Taarab ...
Read More
0

Watch the KTMA 2013 Red Carpet Live from Mlimani City

Fuatilia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 live moja kwa moja hapa kuanzia tukio la Red Carpet litakaloanza saa moja jioni wakati w...
Read More
0

Justin Bieber ni miongoni mwa mastaa waliosign kwenda safari ya utalii wa angani ‘Outer Space’

Imefahamika kuwa msanii mdogo anaeandikwa sana mtandaoni kwa sasa Justin Bieber ame sign kwaajili ya safari ya utalii wa angani mapema ...
Read More
0

Vijusi wanaweza kuonyesha hisia tumboni.

Vijusi au mtoto ambaye angali kuzaliwa akiwa bado kwenye mfuko wa uzazi, hujifunza kuonyesha hisia za uchungu wakiwa bado tumboni. Hii n...
Read More
0

Cocacola wamnunulia gari jipya Diamond.

Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola. Inavyoonekana ni kuwa ...
Read More
0

Dola milioni 7 kwa mwenye habari kuhusu Boko Haram

Marekani inaahidi kutoa zawadi ya fedha kwa yeyote atakayetoa habari kuhusu makundi ya wapiganaji wa kiisilamu Kaskazini na Magharibi m...
Read More
0

Mapendekezo ya wagombea huru TZ

Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini Tanzania, imependekeza wawepo wagombea huru katika ngazi za uchaguzi mbalimbali nchini humo. Hayo n...
Read More
Powered by Blogger.