Breaking News
recent

Chuchu Hans: "Kuna chuki binafsi lakini bado na struggle"

Actress wa filamu hapa Tz ambaye ni kipenzi chake Vincent Kigosi maarufu kama ‘Ray’, Chuchu Hans ambaye ameonekana kudumu katika penzi, takribani miaka 3 tangu penzi lao lianze, wawili hao walifanikiwa kufungua na kampuni inayo julikana kama ( Chura) yaani Chuchu Ray. Chuchu Ameongelea kuhusiana na michakato yake ya filamu pamoja na sababu inayomfanya aendelee kudumu kwenye penzi la ‘Ray’.
“In our film industry kumekuwa na msongamano mkubwa wa mabifu baina ya wasanii kwa wasanii, na hii inasababishwa na chuki binafsi kutoka kwa wasanii yaani, msanii hapendi kuona msanii mwenzake akifanikiwa kitu ambacho ni chanzo kikubwa kinachorudisha maendeleo yetu nyuma. Though kuna changamoto lakini in my side still bado na struggle kwenye muvi, miezi iliyobakia nimejipanga kufanya vitu vingi sana, nataka kusaidia vipaji, kuanzisha ile project yangu ya Tv Program, pia kuna muvi zangu nitazitoa hapa katikati, nitaanza na filamu ya ‘Laura’ so kwa fans wangu wategemee a lot of things this year I can’t talk much more than actions.
In case of love, Penzi letu lina matumaini coz mimi ninapokuwa na mpenzi wangu, kiukweli huwa naweka maisha ya usanii pembeni nabaki kama chuchu na dhani hiyo ni big Reason inayo pelekea mimi kudumu katika Love na Ray”

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.