Breaking News
recent

Video: Jamaa achoma nyumba ya Ex- girlfriend wake kisha apanda juu la Paa na kuanza kucheza kama Drake.



Video mpya ya Drake ‘Hotline Bling’ inaweza ikawa imekuja na matokeo hasi kwa upande mwingine, Imeripotiwa kuwa mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Matthew Russ amechoma nyumba ya aliyekua mpenzi wake kisha kupanda juu ya paa la nyumba hiyo kisha kuanza kucheza kama Drake kwenye video hiyo
Kwenye wimbo huo Drake anaimba mashairi kama mwanaume aliachwa na mpenzi wake ambapo kwa namna moja yanafanana na hali iliyomkuta jamaa huyo hadi kufikia hatua ya kuchoma nyumba ya mpenzi wake wa zamani.
Hata hivyo Matthew Russ aliwekwa chini ya Ulinzi baada ya polisi kufika eneo la tukio.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.