Breaking News
recent

T.I aliposema hawezi kuchagua raisi mwanamke, Aomba msamaha baada ya kushambuliwa.

Rapper T.I amelazimika kuomba msamaha baada ya kushambuliwa mtandaoni baada ya kusema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke.
Wakati anafanya mahojiano na  DJ Whoo Kid,T.I alisema wanawake wanaweza fanya vizuri lakini uraisi ni nafasi kubwa sana kwasababu huwa wanafanya maamuzi yasiyo na busara kutokana na kutawaliwa na hisia
“Not to be sexist but, I can’t vote for the leader of the free world to be a woman. Just because, every other position that exists, I think a woman could do well. But the president? It’s kinda like, I just know that women make rash decisions emotionally – they make very permanent, cemented decisions – and then later, it’s kind of like it didn’t happen, or they didn’t mean for it to happen. And I sure would hate to just set off a nuke. [Other leaders] will not be able to negotiate the right kinds of foreign policy; the world ain’t ready yet. I think you might be able to the Lochness Monster elected before you could get a woman.”

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.