Breaking News
recent

Ciara ameachia single yake mpya kabisa iliyopewa jina ‘Paint It Black’



Ciara anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia hit single yake ya ‘Dance like we’re making love’ msanii huyo amerudi tena na single nyingine mpya!
Kame wewe ni shabiki wa Ciara, Ciara ameachia single yake mpya kabisa iliyopewa jina ‘Paint It Black’ wimbo utakao kuwa miongoni mwa soundtrack singles za movie mpya ya action ‘The Last Witch Hunter’ itakayochezwa na Vin Diesel hivi karibuni.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.