Breaking News
recent

Jay Z na Beyonce waliwahi kuachana mwaka mzima kwasababu ya Rihanna.

Jay Z na Beyonce waliwahi kuachana mwaka mzima baada ya Tetesi za kuwa Mmiliki wa Roc Nation na Mme wa Beyonce, Jay Z alikua na uhusiano wa kimapenzi na Rihanna kuenea.
Mwandishi anayeandaa kitabu cha wasifu wa maisha ya Beyonce (biography),  J. Randy Taraborrelli amesema miaka 10 iliyopita ndoa ya couple yenye nguvu zaidi ilivunjika baada ya Jay Z kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rihanna ambaye alikua na miaka 17 kipindi icho, Taraborrelli ambaye ameweka wazi kuwa kitabu chake bado hakijapata ruhusa ya Beyonce mwenyewe kwasababu amedai kinaweza kuwakasilisha Beyonce na Jay Z amesema tetesi hizo hazikua za kweli bali ilikua kick kwa Rihanna kipindi icho japo watu wengi walipotezea lakini kwa upande wa Beyonce ilikua na effect kubwa kiasi cha kuachana na Hov kwa mwaka mzima.
Mwandishi amedai tukio la mwaka jana la  Jay Z kupigwa kibao na Mdogo wa Beyonce, Solange kwenye elevator ilikua ni kwasababu Jay Z alionesha interest za kumtaka Rihanna
“People told me that there was a whispered argument that night having to do with Jay wanting to go to a party [for] Rihanna,” Amesema Taraborrelli
J. Randy Taraborrelli ni mmoja ya waandishi ambao waliowahi kuuza kazi nyingi zaidi, amewahi kuandika Kitabu cha historia ya Michael Jackson, Madonna, Diana Ross na wengine wengi.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.