Breaking News
recent

Naenda kuwasikilizisha BASATA ngoma yangu mpya kabisa, wakizingua Nawazingua – Roma Mkatoliki.

Rapper Roma Mkatoliki amepanga kuachia ngoma yake mpya kesho, amesema anaenda kuwasikilizisha Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kabisa ili wasije ifungia ikishatoka.
Kwa mujibu wa Post alioiweka amesema iwapo BASATA itampa Go ahead ataachia ngoma yake mpya kesho asubuhi
Siku chache zilizopita Roma alilalamika kuwa Tangazo la kuwa BASATA limeufunguia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ limeuathiri uchumi wake
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.