Breaking News
recent
0

Wabunge Uingereza wamjadili Trump.

Wabunge wa Uingereza wamekuwa na mjadala kuhusu kupigwa marufuku au la kwa anayewania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha republ...
Read More
0

J cole afunga ndoa kimya kimya....

Rapper J cole amefunga ndoa kimya kimya. J. Cole just got forced to admit that he's married at #MLKNOW pic.twitter.com/qH301f8Txa...
Read More
0

Uongozi wa Diamond waitolea ufafanuzi kauli yake kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa MTV

Uongozi wa Diamond umeitolea ufafanuzi kauli ya Diamond  kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa kwenye kituo cha MTV Base. ...
Read More
0

TCRA yavifunga vituo vya habari TZ.....

Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, TCRA imevifungia vituo vya Radio na Television kwa muda wa miezi 3 kikiwemo kituo cha Star TV, ...
Read More
0

Huwezi kumshindanisha Kendrick Lamar na Drake, Kendrick yupo juu – Barack Obama

 Rais wa Marekani, Barack Obama Ana amini Kendrick Lamar anauwezo zaidi ya Drake. Alipokuwa akifanya mahojiano na watangazaji wa vipind...
Read More
0

Céline Dion ampoteza kaka yake kwa ugonjwa wa kansa siku mbili baada ya kifo cha mume wake.

Mwanamuziki mkongwe, Celine dion amefiwa na kaka yake siku mbili baada ya kifo cha Mme wake, Rene nyumbani kwao huko Las Vegas. Kaka wa ...
Read More
0

Real Madrid na Atletico Madrid wapigwa marufuku kusajili.....

Miamba wa Uhispania Real Madrid na Atletico Madrid wamepigwa marufuku kutonunua wachezaji wapya sokoni vipindi viwili. Klabu hizo zim...
Read More
0

Utazipenda picha za Christina Milian kwenye cover la jarida la RollingOut......

Muigizaji na muimbaji, Christina Milian yupo kwenye cover ya toleo jipya la jarida la RollingOut, amezungumzia kuhusiana na Tv show, miti...
Read More
0

Google yasema magari yake ni Salama......

Madereva wa magari yanayojiendesha ya Google walilazimika kushika usukani wa magari hayo ili kuzuia yasifanye ajali katika barabara za ...
Read More
0

Mume wa Celine Dion afariki dunia......

Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza...
Read More
0

Sipendi kufananishwa na rappers wengine – Joh Makini.....

Joh Makini anaamini kumfananisha na rappers wengine ni kutengeneza chuki. Akiongea na XXL ya Clouds Fm, Joh Makini amesema hapendi kabis...
Read More
0

Sina mpango wa kufuta Tattoo ya shilole lakini nimesikitika kwasababu amefuta yangu – Nuh Mziwanda

Nuh Mziwanda amedai mbali ya kuachana na Shilole lakini hana mpango wa kufuta tattoo ya mrembo huyo. Nuh amesema amesikitishwa na kitend...
Read More
0

Lionel Messi awaburuza Ronaldo na Neymar Ballon d’Or......

Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona, na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, ametwaa tuzo ya mchezo bora wa dunia. Messi mwe...
Read More
0

Tuzo za FIFA kufanyika leo, Orodha ya wachezaji, Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo iko hapa........

Tuzo za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) za dunia zinatarajiwa kutolewa leo, Jumatatu Januari 11 jijini Zurich, Uswisi yalipo makao mak...
Read More
0

Katy Perry awa mtu wa kwanza kuwa na followers wengi zaidi Twitter, Afikisha followers Million 80....

Muimbaji Katy Perry ameshika rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Twitter, Amefikisha idadi ya f...
Read More
0

Album ya Tyga ‘The Gold Album: 18th Dynasty’ yaongoza kwenye orodha ya Album mbaya zaidi mwaka 2015

  Mtandao wa  Rap Radar  umetoa orodha ya Album mbaya zaidi mwaka 2015. Wasanii ambao  album zao zingia kwenye orodha hiyo sio kwamba ...
Read More
0

Jarida la Marekani limemtaja Rais msaafu Dk. Jakaya Kikwete kama Rais bora Afrika mwaka 2015

Jarida la ‘African sun’ la Marekani limemtaja Rais msaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais bora Afrika mwaka 2015. Kuhusiana na Rais ...
Read More
0

Familia ya Davido yamaliza tofauti zake na Mama wa mtoto wake......

Ugomvi wa mwanamuziki wa Nigeria, Davido na mama wa mtoto wake Sophia Momodu umekwisha. Familia hizo mbili zimefanya mkutano wa makubal...
Read More
0

Janet Jackson akanusha kuwa na Kansa ya koo....

Janet Jackson amekanusha tetesi za kuwa na ugonjwa wa Cancer. Katika kukabiliana na uvumi wa kuwa na ugonjwa wa kansa ya koo, Nyota huy...
Read More
0

G nako alizwa Million 6 kwenye kikao cha wasanii.....

Msanii wa kundi la Weusi, Gnako amekumbwa na msala wa kupoteza dola elfu 3 ambazo ni sawa na Million 6 kwenye kikao cha wasanii kilichofa...
Read More
0

Glo-CAF Awards 2015: Mbwana Samatha ashinda ‘Mwana soka bora Afrika’ Hii ndio orodha kamili ya washindi

Mtanzania Mbwana Ally Samatta ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani ya bara la Afrika ‘African ...
Read More
0

Hii ndio orodha ya Album 10 zilizouza zaidi Marekani mwaka 2015, Adele anaongoza

Adele ameongoza orodha ya Album 10 zilizouza zaidi Marekani 2015, Orodha hiyo imetolewa na Kampuni ya Neilsen Music. Imeangalia mauzo y...
Read More
0

Uthibitisho wa mazungumzo ya Tyga na binti wa miaka 14 anayedai kutongozwa na rapper huyo waachiwa hadharani

Uthibitisho wa mazungumzo (Chat) ya rapper Tyga na binti wa miaka 14 anayedai kutongozwa na rapper huyo umeachiwa hadharani. Binti huyo...
Read More
0

Diamond kuachia Collabo yake na Aka mwezi huu – Meneja

Baada ya Utanipenda kazi inayofata ni collabo ya Diamond na rapper wa Afrika kusini, Aka. “Nadhani mwezi huu [January] tuna collaborat...
Read More
0

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika adaiwa kula uroda na Rapper wa Marekani Fetty Wap....

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika anaweza kuwa amekula uroda na muimbaji wa ‘Trap queen’ Fetty wap. Mrembo huyo mwenye umbo la utata ambaye k...
Read More
Powered by Blogger.