Breaking News
recent

Céline Dion ampoteza kaka yake kwa ugonjwa wa kansa siku mbili baada ya kifo cha mume wake.

Mwanamuziki mkongwe, Celine dion amefiwa na kaka yake siku mbili baada ya kifo cha Mme wake, Rene nyumbani kwao huko Las Vegas.
Kaka wa mwanamuziki huyo, Daniel Dion amefariki siku ya jana [ Jan. 17] huko Montreal,Canada.
It’s very painful. It’s a matter of days or hours … It looks a lot like Rene, he had cancer of the throat, tongue and brain. Our family is very experienced.”
Familia hiyo ya watoto kumi na nne (Daniel alikuwa wa 8) imetoa taarifa hiyo.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.