Mtanzania Mbwana Ally Samatta ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Afrika
kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani ya bara la Afrika ‘African Player
Of The Year based in Africa’ kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo
za Glo-CAF 2015 jijini Abuja, Nigeria.
Samatta alikuwa akipambana na wachezaji wengine wawili ambao
ni Robert Kidiaba Muteba (DR Congo & TP Mazembe) na Baghdad
Bounedjah (Algeria & Etoile du Sahel).
Hii ndio orodha kamili:
Club of the Year – TP Mazembe
Fair Play Award – Allez Casa (Senegal Supporters group)
Women’s National Team Of The Year – Cameroon
Men’s National Team Of The Year – Cote D’Ivoire
Youth Player Of The Year – Victor Osimhen
Most Promising Talent – Oghenekaro Etebo
Coach of The Year – Havre Renard
Women’s National Team Of The Year – Cameroon
Woman Player of the Year – Gabrielle Enganamouit
Referee Of The Year – Gambia Papa Gassama
African Player Of The Year based in Africa – Mbwana Samatta
Football Leader Of The Year – Abdiqani Said Arab Of Somalia
African Player Of The Year – Pierre Emerick Aubameyang
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Glo-CAF Awards 2015: Mbwana Samatha ashinda ‘Mwana soka bora Afrika’ Hii ndio orodha kamili ya washindi
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment