Baada ya Utanipenda kazi inayofata ni collabo ya Diamond na rapper wa Afrika kusini, Aka.
“Nadhani mwezi huu [January] tuna collaboration na AKA ambayo video yake ipo tayari,”
Amesema sababu ya kuchelewa kuiachia japo waliahidi kuachia video
mbili mwezi uliopita ni kwasababu wimbo ‘Utanipenda’ unafanya vizuri ,
Pia amesema wanauachiawimbo huo kwasababu ni wakuparty ukizingatia
‘Utanipenda’ ni wa huzuni
“Tuna stock nyingi na hii ni collaboration, yaani ni
nyimbo ya AKA na Diamond kwahiyo tunapotoa nyimbo ya collabo mara nyingi
huwa tunasupport kuhakikisha kuwa inapita, sio unafanya halafu unaiacha
tu.”Ameelezea Sallam.
Mwezi uliopita Diamond alishoot video ya collabo yake na Mafikizoro japo bado hawajatangaza itatoka lini.
No comments:
Post a Comment