Vita ya malezi ya mtoto wa mastaa wa Marekani, Future na Ciara
imezidi kuwa kubwa zaidi, Kambi ya Ciara imepinga shutuma za rapper huyo
kuwa amezuiwa kumuona mtoto wake na mchumba wake huyo wa zamani.
Siku ya Jumatatu [Jan. 4] Future alimchana baby mama wake huyo kuwa
anapenda kutawala wanaume na amemzuia kumuona mtoto wake licha ya kuwa
analipa $15,000 kwa ajili ya malezi ya mtoto huyo (Ipo hapa).
“I gotta go through lawyers to see babyfuture…the fuckery for 15k a month,” Future aliandika “I jus want babyfuture that’s all.”
Chanzo cha karibu na Ciara kimeiambia E! Newz kuwa mwanadada
huyo hajamzuia mpenzi wake huyo wa zamani kumuona mtoto wake kuwa ni
yeye mwenyewe ambaye hataki kumuona, kiliongeza kuwa Future hajawahi
lipa kiasi cha pesa anachodai kuwa huwa analipa kwa ajili ya malezi.
Chanzo icho kimedai kuwa Future anawivu na Ciara na anamtumia mtoto wao kama Kick kwenye muziki wake, “Future has told her he hopes she fails in everything she does and that’s just being evil,” Chanzo icho kilielezea. “He is unable to move on and co-parent in a healthy way.”
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Kambi ya Ciara yapinga shutuma za Future za kuzuiwa kumuona mtoto wake, yasema yeye mwenyewe ndio hataki kumuona
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment