Tuzo za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) za dunia zinatarajiwa
kutolewa leo, Jumatatu Januari 11 jijini Zurich, Uswisi yalipo makao
makuu ya ofisi za FIFA. Hii ni listi kamili ya wanamichezo wanaowania
tuzo hizo.
BALLON D’OR
Cristiano Ronaldo (Ureno)
Lionel Messi (Argentina)
Neymar (Brazil)
MCHEZAJI BORA WA KIKE WA MWAKA
Carli Lloyd (USA)
Aya Miyana (Japan)
Celia Sasic (Ujerumani)
KOCHA BORA WA KIUME WA MWAKA
Pep Guardiola (Hispania)
Luis Enrique (Hispania)
Jorge Sampaoli (Argentina)
KOCHA BORA WA KIKE WA MWAKA
Jill Ellis (USA)
Mark Sampson (Wales)
Norio Sasaki (Japan)
FIFA FAIR PLAY AWARD
Tuzo hii inakuwa inatolewa kwa mtu au taasisi ambayo inaonekana kusaidia kukua kwa soka ikisaidiana na FIFA
GOLI BORA LA MWAKA (PUSKAS AWARD)
Alessandro Florenz (Itali)
Wendell Lira (Brazili)
Lionel Messi (Argentina)
KIKOSI BORA CHA MWAKA
Kinapendekezwa na wanamichezo mbalimbali na baadae wakati wa kutoa tuzo kinatangazwa
World Of Pl@tnumz
Michezo Kimataifa
Tuzo za FIFA kufanyika leo, Orodha ya wachezaji, Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo iko hapa........
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment