Breaking News
recent

J cole afunga ndoa kimya kimya....

Rapper J cole amefunga ndoa kimya kimya.
Wakati wa mahojiano na ya #MLKNow kupitia Complex yaliyofanyika kwa heshima ya siku ya Martin Luther King, Jr, J Cole alilazimika kuweka wazi hatua hiyo baada ya muongozaji wa filamu ya Creed, Ryan Coogler kumuuliza kwa bahati mbaya,
 “How did getting married change you?” 
Kitu ambacho hakujua ni kuwa ndoa hiyo ilikuwa bado haijatangazwa hadharani
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.