Mrembo wa Kenya, Vera Sidika anaweza kuwa amekula uroda na muimbaji wa ‘Trap queen’ Fetty wap.
Mrembo huyo mwenye umbo la utata ambaye kwasasa yupo Las Vegas,
Marekani kwa ajili ya Vacation kuna uwezekano mkubwa wa kuwa Fetty wap
ambaye alikuwepo Las Vegas pia hakumuacha hivihivi,
Picha inaanza hivi, siku mbili zilizopita Vera aliweka picha kwenye
Instagram na mmoja ya watu wa Management ya Fetty wap, RGF productions
alicomment kwenye picha hiyo “where we at tonight”
Siku iliyofuata Vera aliweka picha amevaa kofia sawa na ambayo Fetty wap
alikua amevaa kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao wa
Instagram.
Kwenye picha ya nyingine, Vera sindika alipiga selfie huku akificha
baadhi ya vitu nyuma, Itakuwa ni nini ambacho hataki watu waone?
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Mrembo wa Kenya, Vera Sidika adaiwa kula uroda na Rapper wa Marekani Fetty Wap....
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment