Breaking News
recent

Album ya Tyga ‘The Gold Album: 18th Dynasty’ yaongoza kwenye orodha ya Album mbaya zaidi mwaka 2015

 Mtandao wa Rap Radar umetoa orodha ya Album mbaya zaidi mwaka 2015.
Wasanii ambao  album zao zingia kwenye orodha hiyo sio kwamba wanafanya vibaya bali wameachia album zao kiholela, production na promotion ya album zao haikuwa nzuri pamoja na mauzo.
Album ya Tyga ‘The Gold Album: 18th Dynasty’  ndio imeongoza orodha hiyo, Hii ndio orodha kamili
1.  Tyga – The Gold Album: 18th Dynasty
2. Kid Cudi’s  – Speedin Bullet 2 Heaven
3. Dom Kennedy –  Dom Kennedy
4.  Method Man –  The Meth Lab
5. Master P –  Empire
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.