Adele ameongoza orodha ya Album 10 zilizouza zaidi Marekani 2015, Orodha hiyo imetolewa na Kampuni ya Neilsen Music.
Imeangalia mauzo ya album hizo kuanzia Dec. 29, 2014 hadi Dec. 31, 2015. Hii ni orodha nzima:
1 Adele, 25 – 8,008,000
2 Taylor Swift, 1989 – 3,105,000
3 Justin Bieber, Purpose – 2,225,000
4 Ed Sheeran, X- 2,206,000
5 The Weeknd, Beauty Behind the Madness – 2,045,000
6 Drake, If You’re Reading This It’s Too Late – 1,919,000
7 Meghan Trainor, Title – 1,795,000
8 Sam Smith, In the Lonely Hour- 1,741,000
9 Sam Hunt, Montevallo – 1,378,000
10 Fetty Wap, Fetty Wap- 1,295,000
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Hii ndio orodha ya Album 10 zilizouza zaidi Marekani mwaka 2015, Adele anaongoza
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment