Alipokuwa akifanya mahojiano na watangazaji wa vipindi vya Youtube, Destin Sanlin, SWooZie na Ingrid Nilsen aliulizwa nani anadhani atashinda iwapo litatokea beef kati ya Kendrick Lamar na Drake , Akamchagua Kendrick Lamar ambaye anaongoza kwa nomination nyingi zaidi kwenye tuzo as Grammy mwaka huu.
“You gotta go with Kendrick,” Alisema rais Obama “I’m just saying. I think Drake is an outstanding entertainer, but Kendrick… his lyrics. His last album [To Pimp A Butterfly] was outstanding. Best album I that I think [I heard] last year.”
Rais Obama ni shabiki mkubwa wa Kendrick Lamar, hivi karibuni alisema Album ya Kendrick Lamar To pimp a Butterfly ndio album yake bora zaidi mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment