Msemaji wa Kundi la Weusi Niki Wa Pili alizungumza na Clouds Fm kuelezea tokio zima,
“Ni dola elfu tatu kwahiyo huwezi kusema kama zimepigwa au ni kwamba G.Nako alizipoteza katika mazingira ya kutatanisha tulikuwa kwenye kikao cha wasanii sasa sijui kuna mtu alichomoa au zilikuwa zimedondoka lakini kusema mtu ameiba itakuwa siyo sahihi kwa kuwa hatujui zimepoteaje” Alisema Nikki wa pili.
No comments:
Post a Comment