Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Netflix & Chill? Sasa hataTanzania kipo.
Kampuni ya Netflix inayotoa huduma za streaming movies na series
imetangaza kusambaza huduma zake katika nchi 130 zaidi, ikiwemo
Tanzania. Huduma hizo unazipata kwa kulipia kwa mwezi kuanzia $7
kulingana na kifurushi unachohitaji.Huduma Netflix ni sawa na huduma zinazotolewa na ving’amuzi ila yake inabidi kuwa na access ya Internet, Mwanzo huduma hii ilikuwa inapatikana Marekani tu.
Sasa kazi ni kwako Netflix &Chill
No comments:
Post a Comment