Ugomvi wa mwanamuziki wa Nigeria, Davido na mama wa mtoto wake Sophia Momodu umekwisha.
Familia hizo mbili zimefanya mkutano wa makubaliano ya malezi ya
mtoto wao na pia wamekubaliana kutogombana kwenye mitandao ya kijamii,
Pia Sophia Momodu pia amepewa haki za kumtembelea mtoto wao anayeishi na
dada yake Davido ‘Ashley Adeleke’.
Mkutano ulihudhuriwa na Sophia,baba mzazi wa Davido Deji Adeleke, Bwana na Bibi Dele Momodu na wakili wao.
Familia hizo mbili ziliingia kwenye vita kubwa ya malezi ya mtoto wao
baada ya Sophia kudai kuwa Davido na famili yake walikua wamepanga
kumtorosha mtoto wake nje ya nchi bila ruhusa yake.
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Familia ya Davido yamaliza tofauti zake na Mama wa mtoto wake......
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment