CEO wa lebo ya Hustle Gang T.I (TIP) anaziandika
headlines kweye kurasa za burudani jumamosi hii, baada ya kusherekea
birthday yake hivi karibuni msanii huyo ameamua aiachie video ya ‘Broadcast Live’ wimbo unaopatikana kwenye EP yake, Da Nic.
Kama bado hujafanikiwa kukutana na video mpya ya T.I basi karibu uitazame hapa chini…
Kingine kizuri kuhusu T.I mtu wangu ambacho pengine unajua ama hujui ni kwamba kwa sasa rapper huyo kutoka Hustle Gang yupo studio akiwa anakamilisha album yake mpya ambayo itakuwa ni album yake ya 10 toka T.I aanze muziki, album hiyo imepewa jina la Da Dime Trap na taarifa ikufikie kuwa album hiyo ya kumi inatengenezwa kwa ushirikiano wa Boss wa Roc Nation Rapper Jay Z!
No comments:
Post a Comment