Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.
Hits za Davido ni
nyingi ambazo zinafanya jina lake kuwepo kwenye list yoyote
inayohusisha mastaa wa muziki toka Nigeria, jamaa karudi tena… mdundo
unaitwa ‘Dodo’.. YES, baada ya audio yake kutoka siku chache zilizopita sasahivi ni time ya video yenyewe.
No comments:
Post a Comment