Usain Bolt ameonyesha kujali zaidi wimbo wa Taifa baada ya kukatisha Interview alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni baada ya kusikia wimbo wa Taifa wakati ukiimbwa.
Huu unaweza kuwa mfano mzuri kwa wanamichezo wengine kuweza kuheshimu nyimbo zao za Taifa au Taifa lingine pale zinapokuwa zikiimbwa.
Mtazame hapa..
No comments:
Post a Comment