Breaking News
recent

Strong Girl remix’ ndani wamo Diamond, Vanessa, D’banj, Waje, Yemi Alade…Video

May mwaka huu wasanii mbalimbali wa kike Africa waliungana na kutoa Video ya wimbo wa Strong Girl ikiwa ni kampeni zao za kuhamasisha elimu kwa wanawake na watoto wa kike chini ya nembo yao ya One Campaign.
Mastaa hao wameungana tena na kufanya remix ya wimbo huo ambapo wamewashirikisha wasanii wa kiume kama Waje, D’Banj,Gabriel, Banky W pamoja naDiamond.
Idadi ya wasanii hao kwa sasa walioshiriki katika wimbo huo wa “Strong Girl (Remix)” na nchi wanazotoka ni Waje (Nigeria), D’Banj (Nigeria) Victoria Kimani (Kenya), Vanessa Mdee (Tanzania), Banky W (Nigeria), Arielle T (Gabon),Diamond (Tanzania) Gabriela(Mozambique), Yemi Alade (Nigeria), Selmor Mtukudzi (Zimbabwe), Judith Sephuma(South Africa), Omotola Jalade, Nwafor (South Africa), na U2’s Bono.
Video Remix
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.