Breaking News
recent

Usishangae michoro kwenye ‘Matatu’ za Kenya, hii ni India… Mpaka Malori yamechorwa..

Ukikatisha mitaa ya Nairobi kwa watu wa nguvu +254 utagundua tofauti iliyopo kwenye daladala zao au mabasi ya Abiria, hazifanani kabisa na ambazo utakutana nazo Dar es Salaam TZ.. utofauti mkubwa wa kwanza kabisa, ni muonekano wa nje.
matatu
Matatu ndio jina la mabasi ya abiria ndani ya Kenya na kwa nje kwenye bodi ya gari utakutana na michoro ya aina mbalimbali, zipo Matatu zimechorwa pichaz za mastaa au viongozi wakubwa, nyingine zina maandishi na pichaz nyingine tu za rangi tofauti, hicho kitu hakiko kwenye daladala za Dar.
Utamaduni wa kuchora magari haujaishia Nairobi Kenya, pichaz hizi hapa toka India, jamaa nao wako vizuri, unaambiwa wamechora mpaka malori yani !!
150723113948-india-truck-art-jodhpur-exlarge-169
150723121907-india-truck-art-sirhind-exlarge-169
150723122031-india-truck-art-sirhind-front-exlarge-169
Hilo ni basi la abiria na limepambwa mpaka kwenye kioo cha mbele.. Dereva anaiona njia kweli hapo?
150723122212-india-truck-art-spray-painting-exlarge-169
Mkono wa fundi kwenye kazi yake, jamaa anaendelea kupiga michoro kwenye gari.
150723122313-india-truck-art-cabin-interior-exlarge-169
Kama ulishangaa ya nje, sasa hii ni ndani ya gari.. nako michoro imehusika kwenye ubora wake kabisa yani !!
150723122647-india-truck-art-front-jodhpur-exlarge-169
150723124425-india-truck-art-cat-paint-exlarge-169
150728113541-india-truck-art-driver-side-view-2-exlarge-169
Dereva kwenye kazi yake pia.. kazungukwa na urembo wa kutosha kabisa.
150728113951-india-truck-art-driver-door-exlarge-169
150728162730-truck-art-india-montage-1-exlarge-169
Hizi ni basi tatu za abiria, kila moja limependezeshwa vya kutosha.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.