Breaking News
recent

HUYU NDIYE MTOTO WA MIAKA 14 WA KITANZANIA ANAYETENGENEZA APPLICATION ZA SIMU NA KUWAUZIA NOKIA

Alvin Walter Makundi ni kijana
mdogo wa Kitanzania
anayeishi na wazazi wake
nchini Singapore. Akiwa na
umri wa miaka 14 na
mwanafunzi wa kidato cha
pili huko Singapore, tayari
ameshatumbukiza jina lake
katika orodha ya wataalamu
wa application katika moja ya
makampuni makubwa duniani
ya kutengeneza simu za
mkononi ya NOKIA, ambapo
anatengeneza applications
ambazo anazituma katika
kampuni hiyo ambayo nayo
bila hiana huitumia. Kwa
idhini ya mama yake.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.