Breaking News
recent

"SERENGETI BOYZ WANATOA PENZI ZITO"- JACKLINE WOLPER

Nyota wa tasnia ya filamu ,
Jaqueline Wolper ‘Wolper
Gambe’ amedai kuwa
hawapendi sana wanaume
wenye fedha kwani wengi wao
ni waume za watu...
Wolper anadai kuwa nao si
rahisi kuonyeshwa mapenzi
yao ya dhati kwani mapenzi
yao ni ya chumbani tu...
" Unajua unapokuwa na mtu
mwenye fedha zake , alafu
mtu mzima, ni lazmia ukose
penzi la kweli kwani mapenzi
yenu ni chumbani tu,
hamuwezi kutembea pamoja
kukaa kama vile ni
wapenzi ...
"Lakini ukiwa na kijana
ambaye hana pesa na wewe
una kazi lazima akuonyeshe
jinsi mapenzi yalivyo kwa
kukuweka karibu kimahaba
na wewe ukafaidi penzi
kutoka kwake..
“Wanaume wengi wenye
pesa zao huniona nina
dharau, lakini mimi ni
binadamu nahitaji haki
yangu kama mwanamke .
"Kuna watu wanaamini pesa
zao ndio kila kitu, kiukweli
kwangu siyo hivyo , ukileta
mapenzi hayo lazima unione
nina dharau” ,anasema Wolper
Gambe.
Wolper anadai kuwa kuna
watu ambao huwanyooshea
vidole wasanii maarufu kama
yeye kwa kuwaona kama vile
ni Malaya lakini wanasahau
kama nao ni binadamu na
wanaroho kama wanadamu
wengine....
Jack Wolper anasema wao si
malaika , wanapenda na
kupendwa, kwa hiyo
ukimuona ana kijana
Serengeti boy ujue ni kwa
ajili ya kupata penzi nzito na
kusikilizwa haja zake.

ABC

ABC

1 comment:

  1. hahaha hamna kitu apo amekaa kamburula huyo...anajifanya happendi kumbe ctaki nataka

    ReplyDelete

Powered by Blogger.