Breaking News
recent

Hii Ndo List Kamili Ya Waliopata Tuzo Za KTMA 2013

Wimbo bora wa mwaka
Dear God – Kala Jeremiah

Msanii bora wa Kiume
Diamond

Msanii bora wa kike
Lady Jaydee

Msanii bora wa kike Taarab
Isha Mashauzi

Msanii bora wa kiume Taarab
Mzee Yusuf

Msanii bora wa kiume Bongo
Flava
Diamond

Msanii bora wa kike Bongo
Flava
Recho

Msanii bora wa Hip Hop
Kala Jeremiah

Msanii bora wa kiume Bendi
Chalz Baba

Msanii bora wa kike Bendi
Luiza Mbutu

Msanii bora anayechipukia
Ally Nipishe

Video bora ya mwaka
Baadaye – Ommy Dimpoz

Mtunzi bora wa mashairi
Taarab
Mzee Yusuf

Mtunzi bora wa mashairi
Bongo Flava
Ben Pol

Mtunzi bora wa mashairi hip
hop
Kala Jeremiah

Mtunzi bora wa mashairi
Bendi
Chalz Baba

Mtayarishaji bora wa
mashairi muziki wa kizazi
kipya
Man Walter

Mtayarishaji wa wimbo wa
mwaka – Taarab
Enrico

Mtayarishaji wa wimbo
mwaka – Bendi
Amoroso

Mtayarishaji chipukizi wa
mwaka
Mesen Selekta

Rapper bora wa bendi
Fagasoni

Wimbo bora wenye vionjo vya
asili
Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto
ft Ditto

Wimbo bora wa bendi
Risasi Kidole – Mashujaa Band

Wimbo bora wa Reggae
Kilimanjaro – Warriors from
The East

Wimbo bora wa Afrika
Mashariki
Valu Valu – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Bongo Pop
Me an You – Ommy Dimpoz ft
Vanessa Mdee

Wimbo bora wa kushirikiana/
Kushirikishwa
Me and You – Ommy Dimpoz ft
Vanessa Mdee

Wimbo bora wa Hip Hop
Nasema Nao – Nay wa Mitego

Wimbo bora wa rnb
Kuwa na Subira – Rama Dee ft.
Mapacha

Wimbo bora wa ragga/
dancehall
Predator – Dabo

Wimbo bora wa Taarab
Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa

Wimbo bora wa zouk rhumba
Ni wewe – Amini

Bendi bora ya mwaka
Mashujaa Band

Kikundi bora cha Taarab
Jahazi Modern Taarab

Kikundi bora cha muziki wa
Kizazi kipya
Jambo Squad

Hall of Fame – Institution
Kilimanjaro Band wana Njenje

Hall of Fame – Individual
Salum Abdallah

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.