Breaking News
recent

Cocacola wamnunulia gari jipya Diamond.

Ukikutana na Diamond mtaani
akiwa na mchuma mpya wenye
rangi nyeusi, usishtuke sana,
jua ni courtesy of Cocacola.
Inavyoonekana ni kuwa
Cocaboy kama anavyojiita siku
hizi, amenunuliwa gari jipya na
wadhamini wake kampuni ya
vichwaji ya Cocacola.
“Ya all ready know what it’s…..
tukutane Fuel station!!
#CocaCola Mumetishaaaaaa,”
aliandika jana kwenye picha ya
Instagram ya gari hilo likiwa na
maganda yake.
“Chatin infront of my Small
baby… on @channeloafrica
interview at my clib,” aliongeza.
Siku nzima ya jana, hitmaker
huyo wa Kesho alikuwa busy
kwenye interview na kituo cha
runinga cha Channel O.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.