Najua sio raisi kukubali haya, lakini kuna aina ya wanawake ambao ni
waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao
inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake, lakini
leo tutaangalia vipengele ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana.
Umri:
Wanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri
mdogo, wanawake walio na miaka kati ya 24-29 mara nyingi huwa wanashusha
miaka 2 hadi 3 ili waonekane wadogo mbele ya wanaume.
Kutokuwa Na Mahusiano:
Baadhi wa wanawake, husema wapo kwenye mahusiano hata kama hawapo,hii
inatokea hasa kama mwanamke hamtaki mwanaume aliemtokea wakati huo na
kisingizio kikubwa ni yeye kuwa katika mahusiano na huu ni uongo mmoja
maarufu sana na Baadhi ya wanawake pia huwa wanaficha kama wapo kwenye
mahusiano, hasa pale wanapotaka kuanzisha ,mahusiano mapya, huku
wakiendelea kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanaume:
Mwanamke hawezi kukwambia ukweli kuhusu hili hata kama alikutana na
mtu kimwili jana, atakwambia miezi 4-8 iliyopita, hii ni kwasababu
anaona ataonekana muhuni sana au Malaya, na wengi wao huwa wanataka
kuonekana wasafi au tuite watakatifu. Kitu ambacho sio
Ameshakuwa na wapenzi wangapi:
Uongo mwingine ambao ni maarufu ni kuhusiana na mwanaume wangapi
ametoka nao, hapa sahau sana kwani huwezi kupata jibu sahihi, sababu
wanawake wengi huwa wanadanganya mahusiano yao ya nyuma, anaweza
kukwambia wawili au watatu kitu ambacho inaweza kuwa zaidi ya hao.
Japokuwa uongoo huu hata wanaume pia wanadanganya
Kudanganya kuhusu vitu alivyozoea:
Wapo wanawake wanadanganya kuhusu kutoka usiku, labda sio watu wa
tungi/Gambe, sio watundu kitandani na kujidai ndo kwanza kuna mambo
wanayaanza siku hiyo. Kujidai hawawezi hiki mara kile mara akwambie mie
ndo mara yangu ya kwanza ilimladi vituko .
Ila kitu kimoja ambacho nimegundua mwanamke mpaka anafikia stage ya
kudanganya haya ni kwa sababu ana mapenzi ya dhati na mtu huyo na
anaogopa kumpoteza kama akijua baadhi ya vitu vyake vya ndani. Japokuwa
wakati mwingine hali hii haijengi bali inabomoa mahusiano.
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment