Breaking News
recent

MTV Base yamtaja Vanessa Mdee kama Msanii wa kike namba pili aliye juu zaidi Afrika

Vanessa Mdee ameshika nafasi ya pili  kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike waliopo juu zaidi Afrika.
Vanessa ndio msanii wa kike aliyefanya show nyingi zaidi za ndani na nje ya Tanzania mwaka 2015 pamoja na kutajwa kuwania na kushinda tuzo kubwa Afrika.
Nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Yemi Alade.
Hii ndio orodha hiyo;
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)


ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.