Inalipa kuwa na Mwanasheria mzuri !! Mashitaka yaliyokuwa yakimkabili
rapper wa Marekani, Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya kwenye tour bus
lkake mwezi April mwaka huu yametupiliwa mbali.
Nelly alifunguliwa kesi hiyo mapema mwaka huu baada ya bus lake
alilokuwa akilitumia kwenye tour kusimamishwa na polisi waliodai kusikia
harufu ya bangi hivyo kulazimika kulikagua, iliripotiwa kuwa polisi hao
walikuta kipande kidogo cha bangi na bastola iliyotengenezwa kwa
dhahabu (Gold plated).
World Of Pl@tnumz
Entertainment
Music Stories
Kesi iliyokuwa ikimkabili Nelly ya kukutwa na dawa za kulevya yatupiliwa mbali...
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment